Popular

Monday 30 June 2014

sadaktum Wanaume wa Egerton

Wanaume wa Egerton sadaktum.Kofia nawavulia,si kwa sababu ya miaka,ni ukakamavu mlio nao.Mnawalisha nini hawa wanadada? Kila nimwonaye ameshiba,si kushiba tu,amekula akatapika.Kila
kunapokucha ni kuwili,najipata nikimediteti kubaini wazi uzito wenu.Natafuta tuzo maasum niwatuze.Hapo zamani mwanadada
yeyote angeshiba,kilikuwa ni kicheko.

Siku hizi kosa kushiba uchekwe wewe.Anlesi kutokee
kipande kimoja cha muujiza,naona idadi ya bin adam ikiongezeka kwa asilimia 45 na ushei.Isichukuliwe kama matusi,ni furaha imenisukuma. Kwa mwanadada
yeyote,usifanye vingine kumtoa yule anayetarajiwa na wengi nikiwemo,mimi.Yu neva know Tumezaliwa nasi tuzae au sio?

~ Julius Leone Maskini

0 on: "sadaktum Wanaume wa Egerton "