Popular

Friday 4 July 2014

He needs your advice! 18+++

Guys I need ur advice pliz.kuna dem nilipata nikamjinjia akaingia box yangu.sasa ikafika lastweek nikamuita kwa keja yangu.

NikaanAza kujipanga man kupika food ya maana io dei nikaosha keja nikaspray perfme man sa nikarelaz kwa bed nimwait nimrarue.wanaume c mnajua venye hizo tym za kuwait hukuanga?

Sasa ubaya hakua na simu ivo ilibidi niwait.from saa tatu aaubuhi venye tulielewana .

Nikawaiiiiiiiiiiiit hadi ikafika saa nane mzae nimejam mbaya. Ikafika saa kumi jioni nikamanga ile food nikafeel kuua mtu bur nikajicontrol.

Sa wenAngu nauliza tu mnipe advice, nikipata huyu mtu nitamfanyaje coz ni wa karibu na penye nakaa.

Job

0 on: "He needs your advice! 18+++"